Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

SEMAJI LA SIMBA AHMED ALLY LASHUSHA TAMBO BAADA YA USHINDI/"MAGOLI MATANO NI YA KUWAFUNGA YANGA"

Leo April 17, Unapigwa Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaopigwa Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mpenja TV Tumeshafika Dimba la Benjamin Mkapa Kukusogezea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Kutoka Hapa #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #BarakaMpenja

SIMBA WAKIFANYA HAYA ORLANDO PIRATES KWISHA KAZI/UCHOCHORO WAO UKO HAPA/MSIKIE GHARIB MZINGA

Kuelekea Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaotaraji Kupigwa Jumapili hi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mtangazaji Wa Soka Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Ameainisha Udhaifu Wa Orlando Pirates na Kutoa Utabiri Wake Kuelekea Mchezo Huu Mpenja TV Tumefanya Nae Mazungumzo Maalumu kabisa Amefunguka Mengi Sana #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #GharibuMzinga #BarakaMpenja

AHMEDY ALLY AMEFANIKIWA/MPANGO WA SIMBA SC UWE DAKIKA 180 SIO 90/WAKIFANYA HIVI WATAPITA-ALLY KAMWE

Leo April 15 2022, Mpenja Tv Tunakusogezea mahojiano maalumu na Mchambuzi wa Azam Tv, Ally Kamwe Maarufu kama Mzee Wa Mambo 10 kuhuzi safari ya Simba Sports Club Kimataifa. . Fungua Video hii kupata uhondo wote wa mahojiano haya yaliyofanywa na Alwatan Abdulazeez Kontawa. . #simbasc #allykamwe #mpenjatv #cafcc

AHMED ALLY KINYONGE AKIRI UTOFAUTI WA ALAMA 10 NA YANGA NI MKUBWA/BADO LIGI MBICHI/ORLANDO WAJIANDAE

Baada ya Kulazimishwa Suluhu Tasa na Polisi Tanzania Mabingwa Watetezi Wa Ligi Kuu ya NBC Simba SC wamerejea Dar es Salaam wakitokea Kilimanjaro Usiku Huu Baada ya Kutua Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amesema kwa Sasa Wanaelekeza akili Zao katika Mchezo Wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Orlando Pirates April 17 Uwanja Wa Benjamin Mkapa huku Akikubali Kuwa Utofauti Wa Alama na Vinara Wa Ligi Yanga Ni Mkubwa Lakini Bado Kuna Mechi Nyingi Hivyo Mbio Za Ubingwa Zinaendelea #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly

MWAKITALIMA AWA MPOLE "SISI LEO TUMEUMIA NA MATOKEO, SIMBA TUMEFUNGWAA"/ POLISI WANASHANGILIA..

Moshi Kumetakata,,Ushirika Pamekucha,Leo Jumapili ya Tarehe 10/4/2022,Ni Mbungi ya Kukata na Shoka kati ya Maafande Polisi Tanzania dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc,Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Ni Majira ya Saa Kumi za Jioni, Mpenja Tv Tupo Kukuletea kila kitakachojili kwenye Mchezo huo,Kaa Nasi usipitwe na Lolote. #MpenjaTv #PolisiTanzaniavsSimbaSc #Moshi #UwanjawaUshirika #SimbaSc

PASCAL KITENGE WA COASTAL UNION ALIYEPEWA KADI NYEKUNDU/AONGEA KINYONGE BAADA YA KIPIGO CHA SIMBA

Leo April 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Mkwakwani Tanga🔥🔥ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal Union dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc…. Itakuwaje leo Mugalu, Sakho Kufanya kama walivyofanya Kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika??.. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Uwanja wa Mkwakwani Tanga Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #Simbasc #coastalunion #CoastalUnionvsSimbasc #MkwakwaniStadium #SimbaSc #MpenjaTv

MWEH! VICTOR AKPAN MCHEZAJI COASTAL UNION ALIYEWAFUNGA SIMBA AFUNGUKA/MAMA YAKE ALIMTABIRIA KUFUNGA

MWEEH MWEEH 😂 KOCHA MATOLA APEWA JOGOO BAADA YA SIMBA KUICHARAZA COASTAL UNION/ACHEKELEA USHINDI

Highlights

ALLY KAMWE AMBANANISHA MSEMAJI WA DODOMA JIJI "ASEME LEO NANI KAGUSWA"/ AMEWAPONZA DODOMA JIJI...

Ni Jumanne ya Tarehe 22/11/2022 inayowakutanisha walima Zabibu Dodoma Jiji na Wananchi Yanga Sc katika Dimba la CCM ...

SIMBA WALIWACHANGANYA RUVU SHOOTING/KANOUTE KIUNGO WA SHOKA/CHAMA NI HATARI/BOCCO AHEMSHIMIWE

Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Redio cha Azam TV Geofrey Mwamnyanyi ametupa uchambuzi yakinifu ...

MWAKITALIMA AWACHARUKIA MASHABIKI SIMBA "ACHENI KELELE"/AKOSHWA NA KIWANGO CHA BOCCO NA CHAMA

Mpenja Tv tumekuletea mubashara mahojiano na mashabiki wa Simba Sc baada ya ushindi mbele ya Ruvu Shooting mchezo ...

SIMBA ILIKUWA VIZURI ZAIDI YA RUVU/KOCHA MGUNDA NI BALAA KWA MKWASA/MAGOLI YANGEKUWA MENGI ZAIDI

Leo Tarehe 19/11/2022 Simba Sc wanarejea tena Dimba la Benjamin Mkapa Wakikaribishwa na Wazee wa 'MPAPASO' Ruvu ...

SIMBA WALIKUA BORA/RUVU HAWAKUWAHESHIMU SIMBA/BOCCO HATARI/HUYU NDIO CHAMA/MZAMIRU HAZUNGUMZI SANA

KOCHA RUVU SHOOTING KINYONGE AWAPONGEZA SIMBA/"WAMECHEZA VIZURI/TULIFANYA MAKOSA/HATUKUWA SAWA"

AHMED ALLY: "RUVU SHOOTING WAMEFURAHI KUCHEZA NA CHAMA/TUMEIFUNGUA 'WORLD CUP'/HAT-TRICK YA KIBABE

KOCHA MGUNDA: "CHAMA AMEKUJA TUMEENDELEA KUSHINDA/MCHEZAJI MZURI/NAWASHUKURU MASHABIKI WA SIMBA"

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports