Content removal request!


MWEEH MWEEH 😂 KOCHA MATOLA APEWA JOGOO BAADA YA SIMBA KUICHARAZA COASTAL UNION/ACHEKELEA USHINDI

Leo April 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Mkwakwani Tanga🔥🔥ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal Union dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc…. Itakuwaje leo Mugalu, Sakho Kufanya kama walivyofanya Kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika??.. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Uwanja wa Mkwakwani Tanga Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #Simbasc #coastalunion #CoastalUnionvsSimbasc #MkwakwaniStadium #SimbaSc #MpenjaTv