SIMBA WAKIFANYA HAYA ORLANDO PIRATES KWISHA KAZI/UCHOCHORO WAO UKO HAPA/MSIKIE GHARIB MZINGA by @Mpenja TV - Post Details

SIMBA WAKIFANYA HAYA ORLANDO PIRATES KWISHA KAZI/UCHOCHORO WAO UKO HAPA/MSIKIE GHARIB MZINGA

Kuelekea Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaotaraji Kupigwa Jumapili hi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mtangazaji Wa Soka Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Ameainisha Udhaifu Wa Orlando Pirates na Kutoa Utabiri Wake Kuelekea Mchezo Huu Mpenja TV Tumefanya Nae Mazungumzo Maalumu kabisa Amefunguka Mengi Sana #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #GharibuMzinga #BarakaMpenja

Similar Posts!