Moshi Kumetakata,,Ushirika Pamekucha,Leo Jumapili ya Tarehe 10/4/2022,Ni Mbungi ya Kukata na Shoka kati ya Maafande Polisi Tanzania dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc,Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Ni Majira ya Saa Kumi za Jioni, Mpenja Tv Tupo Kukuletea kila kitakachojili kwenye Mchezo huo,Kaa Nasi usipitwe na Lolote. #MpenjaTv #PolisiTanzaniavsSimbaSc #Moshi #UwanjawaUshirika #SimbaSc