Leo April 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea šKatika Dimba la Mkwakwani Tangaš„š„ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal Union dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Scā¦. Itakuwaje leo Mugalu, Sakho Kufanya kama walivyofanya Kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika??.. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechiā¦. Mpenja Tv tupo hapa Uwanja wa Mkwakwani Tanga Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #Simbasc #coastalunion #CoastalUnionvsSimbasc #MkwakwaniStadium #SimbaSc #MpenjaTv