Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
π₯π₯π₯Leo April 30, 2022 Unapigwa Mchezo wa Dabi ya Kariako Baina ya Yanga Na Simba Mchezo Utakaopigwa majira ya 11:00 Jioni katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Mpenja TV Tumekita Kambi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa na Tunakuletea Kila Nukta ya Jambo Linalotokea hapa Kaa karibu na Sisi #mpenjaTV #YanganaSimba #YangavsSimba #Dabiyakariako #wataniwajadi
Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mtoto Adili Mwenye Kipaji cha kutangaza na Kuchambua Mpira ambaye pia ni Shabiki kindakindaki wa Yanga atamba timu yake ya Yanga kupata matokeo dhidi ya Simba April 30 Uwanja wa Benjamin Mkapa Fungua Video Hii kupata uhondo wa Mtoto Adil akichambua na Kutangaza Mpira.... #MtotoAdil #YangaSsVsSimbaSc #YangaSc #SimbaSc #DerbyyaKariakoo #KariakooDerby #MpenjaTv
Kikosi cha Simba Sc Kimewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kikitokea Nchini Afrika Kusini walipokwenda kucheza Mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates na Kutolewa kwa Mikwaju ya Penati 4-3,na Hatimaye Orlando kutinga Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #MpenjaTv #SimbaSc

Leo April 23 2022 Mpenja Tv tupo Uwanja wa Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Kati ya Yanga na Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa moja kamili usiku. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii . . #yangasc #namungofc #mpenjatv

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli Amezungumza Namna Kikosi kinavyojiandaa Kumenyana na Namungo FC, Kwenye Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Utakaochezwa Jumamosi ya Tarehe 23/4/2022,Uwanja wa Benjamin Mkapa. #MpenjaTv #YangaSc #NamungoFc #HassanMbumbuli
Msemaji wa Simba Sc, Ahmed Ally Amezungumza Namna Wanavyojinoa Kuikabili Orlando Pirates ya Afrika Kusini, kwenye Mchezo wa Mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika, Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 24/4/2022 Nchini Afrika Kusini. #MpenjaTv #SimbaSc #AhmedAlly #OrlandpPirates
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally kamwe amezungumzia kuhusu Mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City, ...
Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya ...
Kaimu kocha mkuu wa Simba Juma mgunda amzungumza baada ya kutua Dar es salaam akitikea jijini Mbeya kumenyana na ...
Kikosi cha Simba kimetua Dar es salaam kutokea jijini Mbeya kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya city, mchezo ulioisha ...
Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya ...
Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya ...
Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya ...
Ni Jumanne ya Tarehe 22/11/2022 inayowakutanisha walima Zabibu Dodoma Jiji na Wananchi Yanga Sc katika Dimba la CCM ...