Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR
AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR

Meneja Habari na Wasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amefunguka Maandalizi ya Kikosi Hicho Huku akitanabaisha Wazi kuwa Azam FC Ni dhaifu Mbele Yao na watazichukua Alama Tatu Ugenini Fungua Video Hi Kushuhudia Mahojiano Maalumu na Ahmed Ally Ambaye Amefunguka Mengi Kuelekea Mchezo wa Mzizima Dabi Kati Ya Azam FC na Simba SC #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly #SemajiLaCAF #SemajilaSimba

KIGELEGELE YANGA AONGEA KIINGEREZA BAADA YA KUSHINDA DODOMA/SIMBA SC TUMEWAWEKA KWENYE JEZI...
KIGELEGELE YANGA AONGEA KIINGEREZA BAADA YA KUSHINDA DODOMA/SIMBA SC TUMEWAWEKA KWENYE JEZI...

Ni Jumapili iliyopambwa kwa Nakshi za Zabibu na Wananchi wenye Jangwani yao,Ambapo itapigwa Mbungi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga Sc, kwenye Dimba la Jamhuri lililobarikiwa kuwepo kwenye Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania ,Jijini Dodoma, Ni Saa kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaSc #DodomaJijiFc #DaudiYanga

AHMED ALLY:"TUNAMTAKA YANGA FA/MORRISON ANAKWENDA YANGA?/MAYELE HAMTAMANI TENA INONGA"
AHMED ALLY:"TUNAMTAKA YANGA FA/MORRISON ANAKWENDA YANGA?/MAYELE HAMTAMANI TENA INONGA"

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amesema Maandalizi ya Kuwakabili Pamba FC Yamekamilika na Watavuta Pumzi ya Moto Kwani Wanahitaji kutinga Nusu Fainali ili wakawapasue Yanga na Kuchukua Kombe Hilo Fungua Video Hi Kutazama Mahojiano haya na Ahmed Ally Ambaye Ametamba Kuwapiga Pamba Huku Akipiga Dongo kwa watani wake Yanga kuwa Ni Timu Ndogo #MpenjaTV #SimbaSC #PambaFC #AhmedAlly #SimbaVSPamba #ASFC #Robofainali

UTACHEKA!😂 MC PETIT APIGA GOTI AWAOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WA SIMBA/"PASI 3000 ZINAUMIZA MACHO”
UTACHEKA!😂 MC PETIT APIGA GOTI AWAOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WA SIMBA/"PASI 3000 ZINAUMIZA MACHO”

Vita ya Alama Tatu Inashuhudiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Saalam Baina ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar Majira ya Saa Moja Usiku Mchezo wa Kwanza Uliopigwa Uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera Wageni Simba SC walipata Kipigo Cha Bao 1-0 Leo Mnyama Simba Anahitaji Kulipa Kisasi Timu ya Mpenja TV Iko Uwanja wa Benjamin Mkapa Tayari Kukusogezea Mambo Yote Yanayojili hapa #MpenjaTV #SimbaSC #Ahmedally #Kagerasugar #SimbaVsKageraSugar #NBCPremierLeague

SHOMBO ZA AHMED ALLY; "MAAJABU YAPO DUNIANI ILA SIO KUFUNGWA NA YANGA NUSU FAINALI/TUMEMPELEKEA MOTO
SHOMBO ZA AHMED ALLY; "MAAJABU YAPO DUNIANI ILA SIO KUFUNGWA NA YANGA NUSU FAINALI/TUMEMPELEKEA MOTO

Ewaaa🔥🔥, Siku ya PTK na Pumzi ya Moto imewadia, Leo Mei 8 2022 Mpenja Tv tupo uwanja Wa Benjamin Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kabla na Baada ya mchezo Wa Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting. . Asante Kwa kutuchagua, Endelea kuburidika na Mpenja Tv. . #simbasc #ruvushootingfc #nbcpremeierleague #mpenjatv

TAMBO ZA AHMED ALLY: TIMU BORA "KUONDOKA KWA SAKHO SIMBA SC, "TUNAMPIGA NYINGI RUVU SHOOTING,..
TAMBO ZA AHMED ALLY: TIMU BORA "KUONDOKA KWA SAKHO SIMBA SC, "TUNAMPIGA NYINGI RUVU SHOOTING,..

Msemaji wa Simba Sc, Ahmed Ally Amezungumza Namna Kikosi kilivyojiandaa Kumenyana na Ruvu Shooting kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 8/5/2022,Uwanja wa Benjamin Mkapa, Saa Moja Usiku. #SimbaSc #RuvuShooting #MpenjaTv

YANGA/SIMBA VITA YA UBINGWA IMEANZAA UPYA?/NANI KUIBUKA MSHINDI/WASIKIE WADAU WA SOKA WASEMAVYO
YANGA/SIMBA VITA YA UBINGWA IMEANZAA UPYA?/NANI KUIBUKA MSHINDI/WASIKIE WADAU WA SOKA WASEMAVYO

Kuelekea Michezo ya Raundi ya 22 na 23 ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mashabiki wa Soka Wameeleza Hisia zao Juu ya Timu Gani Inakwenda Kutwaa Taji la Ligi kuu Ya NBC Mpenja TV Tumefika Eneo la Mawasiliano Dar es Salaam Na Kuzungumza na Mashabiki Hao Fungua Video Hi Ushuhudie Tambo na Mbwembwe zao #MpenjaTV #NBCPremierLeague #Ubingwa #YangaSC #SimbaSC #LigiKuu #Nanibingwa

HASHIM IBWE AITABIRIA YANGA UBINGWA/"YANGA WANANAFASI KUBWA KULIKO SIMBA/GOLI LA CHIRWA BALAA
HASHIM IBWE AITABIRIA YANGA UBINGWA/"YANGA WANANAFASI KUBWA KULIKO SIMBA/GOLI LA CHIRWA BALAA

🔥🔥🔥Leo May 3, 2022 Unapigwa Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Baina ya Namungo FC dhidi Ya Simba Hapa Katika Uwanja Wa Ilulu Mkoani Lindi Mpenja TV Tumekita Kambi Katika Viunga Wa Dimba la Ilulu na Tunakusogezea Kila Kinachochomoza Hapa - Fungua Video Hi Ufurahie Burudani ya Soka Kutoka Dimba La Ilulu Mkoani Lindi #MpenjaTV #NamungoFC #SimbaSC #NamungovsSimba #NamungonaSimba

Highlights

SHOMBO ZA MZARAMO WA SIMBA KWA MAYELE BAADA YA KUMCHARAZA POLISI TANZANIA/"HII NI KAWAIDA YETU"
SHOMBO ZA MZARAMO WA SIMBA KWA MAYELE BAADA YA KUMCHARAZA POLISI TANZANIA/"HII NI KAWAIDA YETU"

Leo Tarehe 27/11/2022 Kwenye Uwanja wa Ushirika Moshi inapigwa Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Wafunga Buti, Polisi ...

HATIMAYE! HUYU HAPA AHMED ALLY/"HAKUNA KIUMBE KITULIVU KAMA CHAMA/MASHABIKI KUUMIA NI JUKUMU LAO"

MSEMAJI POLISI TANZANIA AMELOWA!/"HALI MBAYA/TUWAPONGEZE/HATUJAKATA TAMAA"
MSEMAJI POLISI TANZANIA AMELOWA!/"HALI MBAYA/TUWAPONGEZE/HATUJAKATA TAMAA"

Leo Tarehe 27/11/2022 Kwenye Uwanja wa Ushirika Moshi inapigwa Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Wafunga Buti, Polisi ...

KOCHA POLISI TANZANIA AWAPONGEZA SIMBA/"WACHEZAJI WAZURI/TULIFANYA MAKOSA/DIRISHA DOGO TUTASAJILI

“NAIPONGEZA YANGA KWA KUWA UNBEATEN”/HAKUNA KIUNGO WA KUMZIDI BRUNO GOMES/SINGIDA NI PIRA CHOTARA
“NAIPONGEZA YANGA KWA KUWA UNBEATEN”/HAKUNA KIUNGO WA KUMZIDI BRUNO GOMES/SINGIDA NI PIRA CHOTARA

Mtazame hapa Ofisa habari wa klabu ya Singida Big Stars baada ya kupata ushindi wa goli 1 mbele ya Ruvu Shooting ukiwa ni ...

KINYONGEE KOCHA MBEYA CITY AKUBALI YAISHE/YANGA ILIKUWA BORA KUTUZIDI/TUNAMFATA KMC
KINYONGEE KOCHA MBEYA CITY AKUBALI YAISHE/YANGA ILIKUWA BORA KUTUZIDI/TUNAMFATA KMC

Hii ni baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga Sc na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Yanga ...

NI VITA YA YANGA NA MBEYA CITY/MASHABIKI WATUNISHIANA MISULI/UNBEATEN 49 ITAPATIKANA!?
NI VITA YA YANGA NA MBEYA CITY/MASHABIKI WATUNISHIANA MISULI/UNBEATEN 49 ITAPATIKANA!?

Leo majira ya saa 12:15 jioni kutakuwa na mbungi ya kukata na shoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa Kwa Yanga ...

LIVE:YANGA VS MBEYA CITY HALI ILIVYO NJE YA UWANJA/ MASHABIKI WAENDELEA KUFURIKA
LIVE:YANGA VS MBEYA CITY HALI ILIVYO NJE YA UWANJA/ MASHABIKI WAENDELEA KUFURIKA

Leo majira ya saa 12:15 jioni kutakuwa na mbungi ya kukata na shoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa Kwa Yanga ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports