CCM Kirumba Mapeeeemaaaa kumekucha,Uwanja umetakata ni Kariakoo Derby Yanga Sc dhidi ya Simba Sc, Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Mtanange unapigwa Majira ya Saa Tisa na Nusu Alasiri,Jijini Mwanza. #MpenjaTV #SimbaSC #YangaSC #SimbaSCVsYangaSC #Dabiyakariako
π₯π₯π₯Leo April 30, 2022 Unapigwa Mchezo wa Dabi ya Kariako Baina ya Yanga Na Simba Mchezo Utakaopigwa majira ya 11:00 Jioni katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Mpenja TV Tumekita Kambi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa na Tunakuletea Kila Nukta ya Jambo Linalotokea hapa Kaa karibu na Sisi #mpenjaTV #YanganaSimba #YangavsSimba #Dabiyakariako #wataniwajadi