Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

GHARIB MZINGA: "LOMALISA ANAJUA BOLI/YULE FEISAL ANAPIGA PASI/MAYELE NI 'BENZEMA MTUPU"

Leo Tarehe 17/11/2022 Wananchi Yanga Sc wanarejea tena Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Singida Big Stars kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Saa Moja jioni... NB: Mpenja Tv tutakuwepo mapema kabisa katika Dimba la Benjamin Mkapa kukuletea Matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya mchezo huo, Kaa karibu nasi....

BRAVOO! BARAKA MPENJA ASTAAJABU KIWANGO CHA AZIZ KI/AUKUBALI MUZIKI WA YANGA/BOLI INA SURPRISE/WOOW!

Mtangazaji wa mpira wa miguu nchini kupitia Azam Tv Baraka Adson Mpenja ameunguruma baada ya Yanga kutinga makundi ya Shirikisho Barani Afrika na kutaja Yale yaliyomfurahisha. Tazama video hii kujua mengi zaidi aliyozungumza

AHMED ALLY NA WATOTO WEUPE WA SINGIDA "SI UNAJUA SISI WASUKUMA"/ GOLI LA MOSES PHIRI....

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumza Hali ya Timu ilivyo baada ya Kuwasili Mkoani Singida ikiwa ni kuelekea Mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars, Utakaochezwa Jumatano hii,Uwanja wa liti.

AHMED ALLY: "NIMEFURAHISHWA SANA NA MATOKEO YA YANGA SC/ TUOMBE MUNGU WAISHIE PALE KWA KIPANGA.."

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc,Ahmed Ally ametoa Maoni yake baada ya Yanga Sc kusuluhu na Club Africain kwenye Mchezo wa Jana wa Mtoano wa Kuwania Kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

LIVE: MASHABIKI WA YANGA WACHARUKA "SISI NDIO TUNAOUMIA NA MATOKEO/ HATUJASHINDA MECHI HATA MOJA...

Leo Tarehe 2/11/2022 katika Dimba la Benjamin Mkapa Yanga Sc wana kibarua cha Kumenyana na Club Africain kwenye Mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Mtoano wa Kuwania Kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika ,Mchezo Unaochezwa Saa Kumi Jioni.

BARAKA MPENJA GOLI LA AZIZ KI AMEMPIGIA MANULA GIZANI/ HAYATI MAGUFULI NA GOLI LA BERNARD MORRISON..

Leo Tarehe 23/10/2022 ni siku ya kushuhudia mbungi ya kukata na Shoka inayowakutanisha Watani wa Jadi,Watoto wa kariakoo,Yanga Sc na Simba Sc,Kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi na Moja Jioni.

BARAKA MPENJA APAGAWA NA SIMBA YA MGUNDA/PARAPANDA LA MOSEA PHIRI LINGEMUUA KIPA WA DE AGOSTO.

Leo Tarehe 16/10/2022 Simba Sc wanamkaribisha Premeiro de Agosto kutoka Angola kwenye Mchezo wa Mkondo wa Pili wa ligi ya Mabingwa Afrika,katika Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi Jioni.

TAZAMA YANGA SC ILIVYOONDOKA KIBABE KWENDA SUDAN KUWAFUMUA AL HILAL/FULL MKOKO.

Kikosi cha Yanga kimeanza safari yake usiku wa Oktoba 15 kuelekea Khartoum Kumenyana na Al Hilal katika mchezo wao wa Marejeo wa ligi ya mabingwa barani Afrika.

Highlights

LIVE: KAGERA SUGAR VS SIMBA SC/CHEKI KAGERA WALIVYOIWAHI SIMBA MAPEMA KAITABA/ULINZI WA SIMBA BALAA

Ligi kuu ya NBC leo Jumatano Disemba 21, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ...

UTACHEKA SIKIA TAMBO ZA MZARAMO/PASI MILIONI/"MAYELE BAISKELI YA MITI/TUNAPIGA PIRAZUCHU"

#LIVE: KAGERA VS SIMBA/HALI ILIVYO/"CHAMA TUMEMUANDALIA MKE/KANOUTE AKICHEKA MVUA INANYESHA"

WANANCHI WANASIFA, SHABIKI APANDISHA MASHETANI/ "TUNAITAKA AZAM/ KIFUNGU NYWIII CHA MZEE WA UTOPOLO.

Leo Tarehe 20/12/2022,Wananchi Yanga Sc Wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Wagosi wa Kaya Coastal ...

WILSON ORUMA:”SHUGHULI YAO IMEISHIA HAPA COASTAL UNION/BADO MAPEMA KUJUA MFUNGAJI BORA…

Mchambuzi wa mpira wa Miguu nchini kupitia kituo cha Radio cha EFM Wilson Oruma 'Mzee wa Jambia' akitoa tathmini yake fupi ...

NJIWA AMESHATUA KAITABA KUIMALIZA SIMBA/ SIMBA SC HATOKI HUKO, NIMESHAPEWA TAARIFA....
NJIWA AMESHATUA KAITABA KUIMALIZA SIMBA/ SIMBA SC HATOKI HUKO, NIMESHAPEWA TAARIFA....

Leo Tarehe 20/12/2022,Wananchi Yanga Sc Wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Wagosi wa Kaya Coastal ...

GOLIKIPA COASTAL: YALE MAGOLI MAGUMU SANA/ UKIJISAHAU TU UNAFUNGWA/ ILE NI YANGA SC...

ELEUTER MPEPO AINYOOSHEA MIKONO RUVU SHOOTING/ “WALIKUWA VIZURI KIMFUMO/ MASHABIKI WATUVUMILIE…

Tazama hapa mahojiano na Kocha wa Ruvu Shooting Mbwana Mkata pamoja Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar Awadh Juma na ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports