Kikosi cha Yanga kimeanza safari yake usiku wa Oktoba 15 kuelekea Khartoum Kumenyana na Al Hilal katika mchezo wao wa Marejeo wa ligi ya mabingwa barani Afrika.