Content removal request!


BARAKA MPENJA APAGAWA NA SIMBA YA MGUNDA/PARAPANDA LA MOSEA PHIRI LINGEMUUA KIPA WA DE AGOSTO.

Leo Tarehe 16/10/2022 Simba Sc wanamkaribisha Premeiro de Agosto kutoka Angola kwenye Mchezo wa Mkondo wa Pili wa ligi ya Mabingwa Afrika,katika Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi Jioni.