GHARIB MZINGA: "LOMALISA ANAJUA BOLI/YULE FEISAL ANAPIGA PASI/MAYELE NI 'BENZEMA MTUPU" by @Mpenja TV - Post Details

GHARIB MZINGA: "LOMALISA ANAJUA BOLI/YULE FEISAL ANAPIGA PASI/MAYELE NI 'BENZEMA MTUPU"

Leo Tarehe 17/11/2022 Wananchi Yanga Sc wanarejea tena Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Singida Big Stars kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Saa Moja jioni... NB: Mpenja Tv tutakuwepo mapema kabisa katika Dimba la Benjamin Mkapa kukuletea Matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya mchezo huo, Kaa karibu nasi....

Similar Posts!