Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally kamwe amezungumza Maandalizi yao kuelekea Mchezo wa Mkondo wa Pili wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 16/10/2022,Uwanja wa Al Hilal Sudan.
Ofisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amezungumza na waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Fungua Video Hii kupata habari kamili.
Leo Tarehe 28/9/2022 Katika Dimba la Amaan unguja Zanzibar,inapigwa Mbungi ya Kirafiki kati ya Kipanga dhidi ya Simba Sc.
Leo ndiyo leoo, Siku iliyosubiriwa kwa hamu imewadia. . Ni hapa hapa Establdio de Benjamin Mkapa kunako Mbungi la Mnyama Simba akiwakaribisha Nyasa Big Bullets katika Mchezo wa Marejeo. . Mpenja Tv tupo Kwa Mkapa kukuletea Matukio yote yanayoendelea.
Kocha mkuu wa Azam Fc Denis Lavagne amezungumza na Mpenja Tv baada ya Kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya.
Jiji linazizima Leo!! Ni Dar Es Salaam Derby inayowakutanisha Watoto wa Jangwani, Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC Yanga Sc dhidi ya Wazee wa Pira Ice cream, Pira Iriza,Pira Strawberry na Mautamu yote unayoyajua,Azam Fc, Katika Uwanja Wa Benjamini Mkapa. . Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mbungi hili. . Fungua video hii upate uhabarike.
Leo Septemba 4 2022 Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano lake dhidi ya Liam Smith wa England katika ukumbi wa B&S Arena jijini Liverpool. . Mpenja Tv tunakuletea Habari za Uchambuzi wa Pambano hilo. . Fungua video hii kuhabarika.
Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Azam Tv Ali Mayay Tembele amezungumza baada ya dirisha la usajili kufungwa na kusema Nini kilimvutia zaidi katika dirisha hili. Amegusia pia uchambuzi wa timu ya Taifa ya Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye michuano ya kufuzu CHAN
Tazama hapa mahojiano na Kocha wa Ruvu Shooting Mbwana Mkata pamoja Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar Awadh Juma na ...
Leo Tarehe 20/12/2022,Wananchi Yanga Sc Wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Wagosi wa Kaya Coastal ...
Leo Tarehe 20 Disemba 20/2022 makocha na manahodha wa timu ya Simba Sc na Kagera Sugar wamezungumza kuelekea ...
Tayari Mpenja Tv tumefika Mkoa wa Kagera wilayani Bukoba, lengo ni kukuletea matukio yote kabla na baada ya mchezo wa ...
Tayari Mpenja Tv tumefika Mkoa wa Kagera wilayani Bukoba, lengo ni kukuletea matukio yote kabla na baada ya mchezo wa ...
Leo Disemba 18/12/2022 Mpenja Tv tumefika jijini Mwanza lengo ni kukuletea matukio yote yatakayojiri kwenye mchezo wa ligi ...
Leo Disemba 18/12/2022 Mpenja Tv tumefika jijini Mwanza lengo ni kukuletea matukio yote yatakayojiri kwenye mchezo wa ligi ...
Leo Disemba 18/12/2022 Mpenja Tv tumefika jijini Mwanza lengo ni kukuletea matukio yote yatakayojiri kwenye mchezo wa ligi ...