Content removal request!


LIVE: MASHABIKI WA YANGA WACHARUKA "SISI NDIO TUNAOUMIA NA MATOKEO/ HATUJASHINDA MECHI HATA MOJA...

Leo Tarehe 2/11/2022 katika Dimba la Benjamin Mkapa Yanga Sc wana kibarua cha Kumenyana na Club Africain kwenye Mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Mtoano wa Kuwania Kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika ,Mchezo Unaochezwa Saa Kumi Jioni.