Content removal request!


AHMED ALLY: "NIMEFURAHISHWA SANA NA MATOKEO YA YANGA SC/ TUOMBE MUNGU WAISHIE PALE KWA KIPANGA.."

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc,Ahmed Ally ametoa Maoni yake baada ya Yanga Sc kusuluhu na Club Africain kwenye Mchezo wa Jana wa Mtoano wa Kuwania Kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.