AHMED ALLY NA WATOTO WEUPE WA SINGIDA "SI UNAJUA SISI WASUKUMA"/ GOLI LA MOSES PHIRI....
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumza Hali ya Timu ilivyo baada ya Kuwasili Mkoani Singida ikiwa ni kuelekea Mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars, Utakaochezwa Jumatano hii,Uwanja wa liti.