Content removal request!


BARAKA MPENJA GOLI LA AZIZ KI AMEMPIGIA MANULA GIZANI/ HAYATI MAGUFULI NA GOLI LA BERNARD MORRISON..

Leo Tarehe 23/10/2022 ni siku ya kushuhudia mbungi ya kukata na Shoka inayowakutanisha Watani wa Jadi,Watoto wa kariakoo,Yanga Sc na Simba Sc,Kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi na Moja Jioni.