MPENJA AIVULIA KOFIA YANGA/"HAWAWEZI KUFUNGWA MARA MBILI/MAX ANA BALAA SANA/KAZINI KWA GEITA LEO"... by @Mpenja TV - Post Details

MPENJA AIVULIA KOFIA YANGA/"HAWAWEZI KUFUNGWA MARA MBILI/MAX ANA BALAA SANA/KAZINI KWA GEITA LEO"...

Baada ya Mbungi la Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba kati ya GEITA Gold dhidi ya Yanga kumalizika kwa Wananchi kupata Ushindi wa Goli tatu, Mwamba wa umalila Baraka Mpenja ametoa Comment yake juu ya Mchezo huo. Mpenja amikiri balaa la Max sio dogo na Yanga haiwezi kufungwa mara mbili kunako Ligi Kuu ya NBC. Utashi wa eneo la kiungo kwa Yanga Mpenja ameeleza hapa akiwa na Gilbert Johannes mkali wa Vitasa na Tamthilia kutoka Azam Tv.

Similar Posts!