YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA by @Mpenja TV - Post Details

YANGA NI TIMU BORA TANZANIA/KAZE ALIFELI KUFANYA MABADILIKO/SIMBA IIGE KWA YANGA KUJITANGAZA

Leo Sep 20 ndani ya Azam Complex kunapigwa Mchezo mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC mwenyeji ni Yanga huku Namungo FC 'Southern killers' akiwa mgeni wa Mchezo huo. Mchezo utaanza majira ya saa 1:00 za Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, dakika 90 za nguvu zinazosimamisha shughuli za Wanamichezo na utulivu wote kuhamia Azam Complex. Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote na Habari zinazojiri kabla na baada ya Mchezo huo kumalizika.

Similar Posts!