MABANGO YA KISASA YAFUNGWA BENJAMIN MKAPA/INAKAMILIKA LINI?/MZINGO MPYA KUTOKA NJE by @Mpenja TV - Post Details

MABANGO YA KISASA YAFUNGWA BENJAMIN MKAPA/INAKAMILIKA LINI?/MZINGO MPYA KUTOKA NJE

Ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa Mabango ya Kieletroniki yameanza kufungwa rasmi kuelekea Mchezo wa AFL kati ya Simba dhidi ya Al-Ahly. Mpenja Tv tumezungumza na Steve Simon ambae ni Operation Manager wa Kampuni ya Formula 360 iliyopewa Tenda na Wizara ya Sanaa Utamaduni Michezo kufunga Mabango hayo. Yanachukua muda gani mpaka kukamilika? Yote utafahamu hapa. Aidha tumepata nafasi ya kufungua baadhi ya Kago za Mabango hayo ambayo yanafungwa Leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa

Similar Posts!