Semaji la Wananchi Ally Kamwe ameonyesha Mfano wa kuvaa kama Aziz Ki kwa Mashabiki wa Yanga kuelekea Key Day Tarehe 30 Sep ndani ya Azam Complex. Pia ameeleza muitikio wa Mashabiki wa Yanga ulivyo mkubwa juu ya Key Day. Kamwe amewataka wapinzani kuacha kuwazungumzia kwani wao hawana muda wa kuwajibu bali ni kuwasikiliza tu. Hakuacha kutupa Dongo kwa Watani kuwa baada ya Mchezo dhidi ya Al-Merrikh watafanya Sherehe kubwa kuonyesha namna ya kushangilia kuingia hatua ya Makundi