WOOW! ALLY KAMWE,MKUDE NA GAMONDI NI KICHEKO TU BAADA YA 5G/"WAPE SALAMU MAKOLO/OMMY DIMPOZI ANENA. by @Mpenja TV - Post Details

WOOW! ALLY KAMWE,MKUDE NA GAMONDI NI KICHEKO TU BAADA YA 5G/"WAPE SALAMU MAKOLO/OMMY DIMPOZI ANENA.

Leo tarehe Novemba 19 ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa GSM Group of Companies pamoja na Mwekezaji wa Yanga, Ghalib Said Mohamed katika ukumbi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dar es salaam. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu katika tukio hili kubwa.

Similar Posts!