Leo Novemba 28, 2023, Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi Kocha mkuu mpya, Abdelhak Benchikha, raia wa Algeria na kumpa nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa Habari. Kocha Benchikha amewaasa mashabiki na Wanachama wa Simba kumuunga mkono ili kufikia malengo katika mashindano mbalimbali.
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.