Leo Novemba 25 Simba SC anamkaribisha ASEC Mimosas katika Dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi, utakaopigwa Saa 10 jioni. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu kabla na hata baada ya Mechi hiyo.