Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Mashujaa FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 03/02/2024
Mashujaa FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 03/02/2024

Goli pekee la njia ya penati kutoka wa Saidi Ntibazonkiza limeipa Simba pointi tatu muhimu, kwa kuichapa Mashujaa FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Tazama highlights.....

Kagera Sugar 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 02/02/2023
Kagera Sugar 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 02/02/2023

Yanga SC imebanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague Tazama baadhi ya matukio muhimu kutoka kwenye mchezo huo....

Simba SC 4-0 Tembo FC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 31/01/2024
Simba SC 4-0 Tembo FC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 31/01/2024

Simba SC imefuzu raundi ya tatu ya #AzamSportsFederationCup kwa kuichapa tembo FC mabao 4-0 kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yamefungwa na Luis Miquissone dakika 11, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 31, Saleh Karabaka dakika ya 81 na Pa Omar Jobe dakika ya 83.

Magoli | Yanga 5 -1 Hausung | Azam Sports Federation Cup 30/01/2024
Magoli | Yanga 5 -1 Hausung | Azam Sports Federation Cup 30/01/2024

Clement Mzize amepiga hattrick, Yanga ikiichapa Hausung kutoka Njombe, mabao 5-1 katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC Mechi imepigwa Azam Complex, na magoli mengine yametoka kwa Jonas Mkude aliyefungua kitabu dakika ya 20, pamoja na Skudu Makudubela aliyefunga goli la pili dakika ya 25. Haya hapa magoli yote...

VITASA | Ibrahim Class ampiga Israel Kammwamba TKO raundi ya pili Mkwakwani Tanga 27/01/2024
VITASA | Ibrahim Class ampiga Israel Kammwamba TKO raundi ya pili Mkwakwani Tanga 27/01/2024

IBRAHIM CLASS v ISRAEL KAMMWAMBA: Tazama shughuli ilivyomalizika mapema tu raundi ya pili….Ibra Class Mawe akiibuka na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake Israel Kammwamba kutoka Malawi 'kurusha taulo' Tangaaaaaa....! #KaaKwaKutulia Na hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu, katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga katika Usiku wa Vitasa Nyumbani ni Nyumbani. #KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga

Yanga 1-1 Simba | U20 Premier League | Highlights 21/01/2024
Yanga 1-1 Simba | U20 Premier League | Highlights 21/01/2024

Ni mechi ya Ligi Kuu ya Vijana U20 Tanzania Bara iliyopigwa Azam Complex, Chamazi, Simba na Yanga U20 zikitoka sare ya bao 1-1. Ametangulia kufunga Juma Yusuph wa Simba dakika ya 7 kabla ya Willyson Christopher kuchomoa dakika 39. Hii ni #KariakooDerbyU20

Mlandege FC 1-0 Simba SC | Highlights | Fainali MAapinduzi - 13/01/2024
Mlandege FC 1-0 Simba SC | Highlights | Fainali MAapinduzi - 13/01/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup kati ya Mlandege FC dhidi ya Simba SC. Mlandege imeshinda 1-0 na goli limefungwa na Joseph Akandwanao. Ni mara ya pili mfululizo kwa Mlandege FC kubeba kombe hili.

Singida Fountain Gate 1 (2-3) 1 Simba | Highlights | Mapinduzi Cup - 10/01/2024
Singida Fountain Gate 1 (2-3) 1 Simba | Highlights | Mapinduzi Cup - 10/01/2024

Tazama matukio yote yaliyojiri mchezo wa nusu fainali ya mapinduzi Cup kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC. Simba imetinga fainali kwa kupata penati 3-2 Waliopiga penati ni Medie Kagere, Hamad Waziri, Duke Abuya, Gadiel Michael na Deus Kaseke kwa upande wa Singida FG. Shomari Kapombe, Luis Miquissone, Saidi Ntibazonkiza, , Israel Mwenda na Moses Phiri kwa upande wa Simba SC.

Highlights

Marehemu Iddy Mobby Mfaume alivyokumbukwa Mtibwa vs Simba - NBC PL 11/03/2023
Marehemu Iddy Mobby Mfaume alivyokumbukwa Mtibwa vs Simba - NBC PL 11/03/2023

Tazama jinsi Simba, Mtibwa Sugar pamoja na mashabiki walivyoshiriki katika kumkumbuka aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar, ...

Ihefu SC 1-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 13/03/2023
Ihefu SC 1-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 13/03/2023

Raphael Daud Loth amefunga goli pekee na kuwapa Ihefu ushindi wa bao 1-0 dhidi ay Azam FC, mechi ya #NBCPremierLeague ...

Goli pekee la Ihefu ikiwatandika Azam FC 1-0 Mbarali - NBC Premier League 13/03/2023

LIVE | Uchambuzi Ihefu SC 1-0 Azam FC | NBC Premier League
LIVE | Uchambuzi Ihefu SC 1-0 Azam FC | NBC Premier League

Fuatilia matangazo ya LIVE kuhusu uchambuzi baada ya Azam FC kufungwa bao 1-0 na Ihefu SC kwenye mchezo wa NBC ...

MITANDAONI | Yanga ndio ya kwanza kushinda mechi 11 mfululizo Ligi Kuu - 13/03/2023
MITANDAONI | Yanga ndio ya kwanza kushinda mechi 11 mfululizo Ligi Kuu - 13/03/2023

Yaliyojiri mitandaoni ni pamoja na taarifa ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuitangaza Yanga SC kuwa ndio timu ya kwanza ...

LIVE | Uchambuzi kuelekea mechi ya Ihefu SC VS Azam FC | NBC Premier League
LIVE | Uchambuzi kuelekea mechi ya Ihefu SC VS Azam FC | NBC Premier League

Fuatilia matangazo ya LIVE kuhusu uchambuzi kuelekea mechi ya NBC Premier League kati ya Ihefu SC dhidi ya Azam FC katika ...

Dodoma Jiji  2-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 12/03/2023
Dodoma Jiji 2-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 12/03/2023

Seif Karihe alitumia takriban sekunde 50 tangu aingia dimbani kuifungia Dodoma Jiji goli la kwanza dakika ya 49, kabla ya ...

Magoli | Dodoma Jiji 2-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 12/03/2023
Magoli | Dodoma Jiji 2-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 12/03/2023

Seif Karihe alitumia takriban sekunde 50 tangu aingia dimbani kuifungia Dodoma Jiji goli la kwanza dakika ya 49, kabla ya ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports