Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Hizi hapa hekaheka za Selemani Kidunda na Asemahle kwenye pambano lao la raundi 12. Pambano hili limemalizika bila mshindi yaani droo.
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya Azam Sports Federation Cup kati ya Simba SC dhidi ya TRA Kilimanjaro. Magoli matatu yamefungwa na Sadio Kanoute, wengine ni Pa Omar Jobe, Fredy Michael Koublan na Ladack Chasambi
Tazama magoli yote sita ya Simba SC ikiichapa TRA Kilimanjaro FC kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Cup. Magoli matatu yamefungwa na Sadio Kanoute, wengine ni Pa Omar Jobe, Fredy Michael Koublan na Ladack Chasambi
Tazama magoli ya Yanga SC ikiichapa Polisi Tanzania magoli 5-0. Mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya Azam Sports Federation Cup. Magoli yamefungwa na Joseph Guede, Farid Mussa, Clement Mzize na Shekhan Ibrahim
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya KMC dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 3-0 Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya ambaye amefunga mawili. Goli la tatu limefungwa na Pacome Zouzoua
Tazama mambo yalivyokuwa kwenye mechi kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC. Goli pekee lililopatikana kwenye mchezo huo limefungwa na Clatous Chota Chama
Clatous Chama ameifungia Simba goli la kusawazisha dakika ya 90 na kufanya matokeo yawe ni sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza. Katika mchezo huo mkali, Azam walitangulia kwa goli la Prince Dube dakika ya 14.
Simba SC imepata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Tabora United, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Magoli ya Simba yametoka kwa Pa Omar Jobe, Sadio Kanoute, Che Malone Fondoh na Fredy Koublan.
Tazama uchambuzi wa mechi ya kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania dhidi ya Uganda, mchezo huo ulimalizika ...
"Hatujamaliza tuna mechi tena nyingine" sehemu ya maneno ya mfungaji wa goli la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ...
Tazama nderemo na shangwe la Watanzania baada ya kushuhudia goli la Simon Msuva akiwatungua Uganda kwenye mchezo ...
Tazama uchambuzi wa yale yaliyojiri kwenye michezo ya Kimataifa wakati Simba SC ikiitandika Horoya bao saba na Yanga ...
Wasikie Wachambuzi mahiri wa kandanda ndani ya Sports AM ya #AzamSports1HD, Ramadhani Mbwaduke, Clarence Kunambi ...
Msikie Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi mbalimbali ya Waamuzi kwenye ...
Droo ya upangaji ratiba ya robo fainali na nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports, imefanyika leo na matokeo ni: Simba ...
Mzunguko wa 24 wa NBC Premier League umekuwa na taarifa za kustusha na kufurahisha kwa baadhi ya vilabu nchini huku ...