Kagera Sugar 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 02/02/2023
Yanga SC imebanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Tazama baadhi ya matukio muhimu kutoka kwenye mchezo huo....