Content removal request!


Mlandege FC 1-0 Simba SC | Highlights | Fainali MAapinduzi - 13/01/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup kati ya Mlandege FC dhidi ya Simba SC. Mlandege imeshinda 1-0 na goli limefungwa na Joseph Akandwanao. Ni mara ya pili mfululizo kwa Mlandege FC kubeba kombe hili.