Content removal request!


Magoli | Yanga 5 -1 Hausung | Azam Sports Federation Cup 30/01/2024

Clement Mzize amepiga hattrick, Yanga ikiichapa Hausung kutoka Njombe, mabao 5-1 katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC Mechi imepigwa Azam Complex, na magoli mengine yametoka kwa Jonas Mkude aliyefungua kitabu dakika ya 20, pamoja na Skudu Makudubela aliyefunga goli la pili dakika ya 25. Haya hapa magoli yote...