Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024
Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024

Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.



ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA
ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.



Čo čaká The '24 Jays? | V The Letters
Čo čaká The '24 Jays? | V The Letters

So začiatkom sezóny 2024 začnú Arden a Ben najnovšími správami z tábora Blue Jays (00:39) a potom budú diskutovať...



SESTŘIH 9. kolo nadstavy 2. ligy: HC Tábor vs Piráti Chomutov 4:2
SESTŘIH 9. kolo nadstavy 2. ligy: HC Tábor vs Piráti Chomutov 4:2

Piráti v rámci devátého kola nadstavby druhé ligy zajížděli na led druhého celku tabulky z Tábora, kde si připsali ve venkovní ...



MAPOVU YA AHMED ALLY"NYUMA MWIKO WAACHE KUMTUPIA MAJINI MAYELE/WAJIFUNZE KUACHANA VIZURI NA WACHEZAJ
MAPOVU YA AHMED ALLY"NYUMA MWIKO WAACHE KUMTUPIA MAJINI MAYELE/WAJIFUNZE KUACHANA VIZURI NA WACHEZAJ

Kikosi cha Simba SC,kimerejea Jijini Dar es salaam leo Februari 13,2024 kikitokea Jijini Mwanza baada ya kucheza michezo minne ya ligi kuu ya NBC katika Mikoa Mitatu,Februari 3 dhidi ya Mashujaa FC Kigoma,Februari 6 dhidi ya Tabora United, Tabora,Februari 9 dhidi ya Azam FC Mwanza na Februari 12 dhidi ya Geita Gold Mwanza. Kwenye Michezo hiyo Minne Simba SC imevuna Alama 10 kati ya 12,imemfunga Mashujaa FC 1-0,Ikamfunga Tabora United 4-0,Ikatoka Sare ya 1-1 na Azam FC na ikamfunga Geita Gold 1-0.



MBWADUKE: DOMINANT WIN! SIMBA YA BENCHIKHA BALAA/ YAUA 4-0 HUKU IKIGUSA MOJA - MOJA/ JOBE, FREDY...
MBWADUKE: DOMINANT WIN! SIMBA YA BENCHIKHA BALAA/ YAUA 4-0 HUKU IKIGUSA MOJA - MOJA/ JOBE, FREDY...

USAHIHI 1. Katika mechi dhidi ya Mashujaa, Chama aliingia kipindi cha pili. 2. Mabeki Tabora United jezi namba 2 ni Heritier Lulihoshi, namba 3 Andy Bikoko na Shafii Maulid jezi yake ni namba 13. Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level" Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... #ivorycoast #nigeria #benchikha #taboraunited #clatouschotachama #paomarjobe #saidontibazonkiza #dodomajiji #mudathir #josephguede #inonga #drc #chama #kagereasugar #mashujaa #josephguede #newamanicomplex #okrah #afcon #ibrabacca #pacome #fredymichaelkoublan #josephguede #paomarjobe #babacarsarr #Baleke #jamhuri #gsm #modewji #imoro #cortes #jezimpya #kramo #taifastars #kibu #adelamrouche #taifastars #livestreaming #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #luismiquissone #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #mgunda #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva




« Previous Next »


Popular Tags

#Thomas Muller  #James Harden  #Mesut Ozil  #Cleveland Cavaliers  #Philadelphia 76ers  #Best Football Defending Skills  #Counter Attack Goals Football  #Best Goals  #Best Football Defending Skills  #Stephen Curry  

Popular Users

#JohnCena  #JayBilas  #BadgerMBB  #tigerwoods  #mcuban  #NASA  #JoelEmbiid  #MieshaTate  #hunterpence  #obj  #nfl  #sportspickle  #DwyaneWade  #RobGronkowski  #Oprah