Simba SC 4-0 Coastal Union | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed, Cup 20/06/2026
Simba SC 4-0 Coastal Union | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed, Cup 20/06/2026

Mnyama Simba ametinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa Coastal Union mabao 4-0 katika mchezo mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Libase Gueye, Nickson Kibabage, Rushine de Reuck kwa penati na Clatous Chama.



Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura
Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.



LIVE: SIMBA YA FADLU DAVIDS YAMOTO/ AUCHO, CHAMA, KIBABAGE, WATIMKIA SINGIDA/ SIMBA WATAMBA NA JEZI.
LIVE: SIMBA YA FADLU DAVIDS YAMOTO/ AUCHO, CHAMA, KIBABAGE, WATIMKIA SINGIDA/ SIMBA WATAMBA NA JEZI.

LIVE; SIMBA SC YA FADLU DAVIDS YAMOTO/ AUCHO, CHAMA, KIBABAGE, WATIMKIA SINGIDA BS/ SIMBA SC WATAMBA NA JEZI/ YANGA SC INAWAZA MAKOMBE TU.



TOBAAH!! HILI NDIO TENGA LA KUKUSANYA PESA ZA GOLI LA MAMAA |VITAL'O WAMEYAKANYAGA WANAPIGWA NYINGI
TOBAAH!! HILI NDIO TENGA LA KUKUSANYA PESA ZA GOLI LA MAMAA |VITAL'O WAMEYAKANYAGA WANAPIGWA NYINGI

livestreaming #chama #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv@gmail.com Contact : +255 716 051 853




Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  #Ronaldinho  #Michael Jordan  #LeBron James  #LeBron James  #Counter Attack Goals Football  #Kyrie Irving  #Stephen Curry  #Chicago Bulls  

Popular Users

#lindseyvonn  #billbarnwell  #cesc4official  #HEELZiggler  #THNRyanKennedy  #JasonDufner  #katzm  #MikePereira  #richarddeitsch  #TheChristinaKim  #iamsrk  #BrunoMars  #Oprah  #b_ryan9