ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.

Similar Posts!