BARAKA MPENJA AGONGA NONDO KALI ZA AFCON/NIGERIA/CAMEROON/AHIMIZA KUJIUNGA NA TIMU CHANJWA!
BARAKA MPENJA AGONGA NONDO KALI ZA AFCON/NIGERIA/CAMEROON/AHIMIZA KUJIUNGA NA TIMU CHANJWA!

COMMENTATOR wenu wa Boli, Baraka Mpenja, amekuja na Jambo zito kuhusu AFCON. Sasa mtampata huku kama kawaida, ...



MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA
MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA

Habari zinaeleza kuwa Uongozi wa Simba SC umefanya uchunguzi na kuona kuna kikundi cha mastaa watatu ambapo kama wakikimaliza, basi makocha na timu nzima itafanya kazi kwa sauti na kwa nguvu moja kama ilivyo kauli mbiu yao. Mastaa hao ambao wanaipasua kichwa Simba SC ni Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo nje ya kikosi baada ya kusimamishwa akidaiwa kukwaruzana na mmoja wa makocha wa timu hiyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #chama #miquissone #simbasc



MBWADUKE: A MONSTER! HUYU STRAIKA MPYA SIMBA PA JOBE ANATISHA KWA KUTUPIA MABAO/ CHANGAMOTO NI...
MBWADUKE: A MONSTER! HUYU STRAIKA MPYA SIMBA PA JOBE ANATISHA KWA KUTUPIA MABAO/ CHANGAMOTO NI...

UFAFANUZI April 10, 2023, straika Pa Omar Jobe aliondoka Neman Grodno akiwa huru na kujiunga na klabu ya Zhenis. Na sasa amejiunga Simba akiwa huru pia kutokea Zhenis inayoshiriki ligi ya Kazakhstan. Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like #pa omar jobe #babacarsarr #Baleke #Jamhuri #gsm #modewji #imoro #cortes #jezimpya #kramo #taifastars #kibu #adelamrouche #taifastars #livestreaming #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva



MAMBO YOTE UNAYOHITAJI KUYAFAMU KUHUSIANA NA PA OMAR JOBE/MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA
MAMBO YOTE UNAYOHITAJI KUYAFAMU KUHUSIANA NA PA OMAR JOBE/MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA

Simba SC imewa suprise mashabiki wake leo hii siku ya mwisho wa Dirisha la usajili baada ya Kumtambulisha Pa Omar Jobe nota maya raia wa Gambia mwenye umri wa miaka 25 Kama Lawanda Dullah Hassan mchambuzi bora zaidi Tanzania memuelezea kwa kina nyota huyu historia yake ya Soka toka akiwa kwao nchini Gambia hadi sasa akiwa klabu yeke ya mwisho nchini Kaghastan Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644 utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Shaquille O'Neal  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Best Goals  #New York Knicks  #Stephen Curry  #Kyrie Irving  #Best Goals Ever  #Kobe Bryant  

Popular Users

#LilTunechi  #HEELZiggler  #MichelleDBeadle  #geniebouchard  #nyt4thdownbot  #JohnCena  #rogerfederer  #DwyaneWade  #JayBilas  #ochocinco  #iamsrk  #sydneyleroux  #rihanna  #DeionSanders  #AntDavis23