Azam TV - VPL, MAGOLI YOTE: John Bocco alivyoiteketeza Ndanda FC Mtwara (Ndanda 0-2 Simba)
Azam TV - VPL, MAGOLI YOTE: John Bocco alivyoiteketeza Ndanda FC Mtwara (Ndanda 0-2 Simba)

Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Nangwanda Sijaona Mtwara ambapo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Nahodha wake John Bocco



MAPOKEZI YA MANARA MTWARA, NDANDA VS SIMBA
MAPOKEZI YA MANARA MTWARA, NDANDA VS SIMBA

Jinsi msemaji wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara alivyopokelewa katika uwanja wa Nangwanda Mtwara walipocheza dhidi ya Ndanda Fc. Endelea ku Subscribe YouTube Chanel yet ili uweze kupata habari mpya kila zinapotujia https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ



Kikosi cha simba vs Ndandafc hiki hapa
Kikosi cha simba vs Ndandafc hiki hapa

VPL inaendelea Leo Jumamosi 30/12/2017 ambapo Simba ipo ugenini mkoani Mtwara ikikwaana na wenyeji wao Ndanda fc, ambapo Simba inapambana kurejea kileleni mwa msimamo wa vpl baada ya kuenguliwa na Azam fc



KUTOKA MTWARA: NDANDA VS SIMBA | MASHABIKI
KUTOKA MTWARA: NDANDA VS SIMBA | MASHABIKI

NDANDA VS SIMBA leo kwenye uwanja wa nangwanda sijaona,mashabiki wa simba na ndanda walikutana na shutikaliTV wakatoa maoni yao https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ?view_as=subscriber https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ?view_as=subscriber https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ?view_as=subscriber



NDANDA FC YAIMARISHA KIKOSI IKIIKABILI SIMBA
NDANDA FC YAIMARISHA KIKOSI IKIIKABILI SIMBA

Kuelekea katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba SC, klabu ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara, imetangaza usajili wa wachezaji Watatu waliongezwa kikosini katika dirisha dogo



Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: NDANDA 1-1 NJOMBE MJI (24/11/2017)
Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: NDANDA 1-1 NJOMBE MJI (24/11/2017)

Mchezo umepigwa dimba la Nangwanda Sijaona Mtwara ambapo bao la Ndanda limepatikana dakika ya 49 huku la Njombe likifungwa dakika ya 84.



MASHABIKI RUVU SHOOTING WAKISHANGILIA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA NDANDA FC
MASHABIKI RUVU SHOOTING WAKISHANGILIA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA NDANDA FC

MASHABIKI RUVU SHOOTING WAKISHANGILIA USHINDI WA KWANZA DHIDI YA NDANDA FC Na Omary Mngindo, Mlandizi, Kibaha Vijijini, Pwani, Tanzania- Nov 18 BAO la pekee la timu ya soka ya Ruvu Shooting dhidi ya Ndanda Fc ya Mtwara lililofungwa na Abdulhaman Mussa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) limepokelewa kwa shangwe, furaha na vifijo kutoka kwa mamia ya mashabiki wa timu hiyo wengi wao wakiwa vijana waliojiunga na Kikosi cha JKT kwa ajli ya mafunzo. Bao hilo lililofungwa kwa mkwaju wa penati na nyota huyo aliyekuwa mfungaji bora katika Ligi ya msimu uliopita akifungana na kiungo aliyekuwa anakitumikia kikosi cha Yanga Simon Msuva, limeiwezesha timu hiyo kupata ushindi wa kwanza kwenye kinyang'anyiro hicho tangu kuanza kwa ligi ya msimu huu. MWISHO.



Ndanda FC Yaiua Lipuli
Ndanda FC Yaiua Lipuli

Klabu ya soka ya Ndanda FC mkoani Mtwara imeibuka na ushindi mwingine hii leo baada ya kuibamiza Lipuli FC ya mkoani Iringa kwa mabao 2-1




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Goalkeeper Saves  #Counter Attack Goals Football  #Amazing Solo Goals  #Best Goalkeeper Saves  #Mesut Ozil  #Shaquille O'Neal  #Zlatan Ibrahimovi  #Chris Paul  #LeBron James  

Popular Users

#KingJames  #AntDavis23  #KevinHart4real  #kevinlove  #BringerOfRain20  #Joey7Barton  #BizNasty2point0  #NiallOfficial  #MichelleDBeadle  #BMcCarthy32  #kobebryant  #JayBilas  #wizkhalifa  #b_ryan9