Content removal request!


Azam TV : VPL: Harmonize katikati ya mashabiki wa Ndanda FC ikipigwa 2-0 na Simba

Mkali wa bongo fleva kutoka WCB, Harmonize ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Mtwara, naye alikuwepo katika dimba la Nangwanda Sijaona, akiongoza timu ya mashabiki wa Ndanda FC. FT: Ndanda FC 0-2 Simba SC.