VPL inaendelea Leo Jumamosi 30/12/2017 ambapo Simba ipo ugenini mkoani Mtwara ikikwaana na wenyeji wao Ndanda fc, ambapo Simba inapambana kurejea kileleni mwa msimamo wa vpl baada ya kuenguliwa na Azam fc
Chelsea have lost the first group E UEFA champions league match 1-0 against Dinamo Zegrab. #uefachampionsleague, #uefa ...