Harmonize amtambulisha Kajala Mtwara wamakonde walivyomlilia Sarha mzungu wa Harmonize
Harmonize amtambulisha Kajala Mtwara wamakonde walivyomlilia Sarha mzungu wa Harmonize

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.

Highlights | Ndanda FC 0-0 Simba SC - VPL 05/07/2020
Highlights | Ndanda FC 0-0 Simba SC - VPL 05/07/2020

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Ndanda SC katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Tazama Highlights na kosakosa kwenye mchezo huo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'
Mashabiki wa SIMBA Wamshangaa Morrison 'Kupanda Mpira'

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mashabiki wa timu ya Simba wametamba baada ya kuwafunga Kagera bao 1-0 Uwanja wa Taifa leo Feb 18, 2020 Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 usiku Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora
Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 leo Feb 18, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)
SIMBA SC 2-0 NDANDA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/05/2019)

Simba SC imebakiza pointi mbili katika michezo mitatu iliyosalia kutetea taji lake la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Ndanda SC kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufikisha pointi 88 kileleni mwa msimamo wa ligi. Mabingwa hao watetezi wamepata ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Meddie Kagere ndani ya dakika kumi, akianza dakika ya 6 kwa pasi ya John Bocco, kisha dakika ya 11 kwa pasi ya Clatous Chama. Mabao hayo yamemfanya Kagere kufikisha jumla ya magoli 22 kwenye ligi kuu msimu huu, akimuacha kwa mbali mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo na mshambuliaji wa Mwadui FC Salim Aiyee wenye magoli 16 kila mmoja, huku Emmanuel Okwi na John Bocco wa Simba pia wakiwa nyuma yao na mabao 15 kila mmoja. Baada ya mchezo wa leo, Simba inasafiri kwenda mjini Singida ambako itacheza na Singida United Jumanne ya Mei 21, 2019, na endapo watapata ushindi basi shughuli itakuwa imekwisha msimu huu kwani watakuwa wamefikisha pointi 91 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote. Kwa upande wao Ndanda SC wameendelea kubaki kwenye nafasi yao ya nane wakiwa na pointi 47 na wamekiza mechi mbili ambzo zote watacheza nyumbani kwao Mtwara.

KOCHA SIMBA "Hatuendi SINGIDA Kuchukua Alama 1 Tunashinda"
KOCHA SIMBA "Hatuendi SINGIDA Kuchukua Alama 1 Tunashinda"

KOCHA SIMBA "Hatuendi SINGIDA Kuchukua Alama 1 Tunashinda" KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa timu ya Ndanda ni miongoni mwa timu ngumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na mwenendo wake kwenye ligi hivyo ameingia uwanjani kwa tahadhari kubwa. Leo Simba imewakaribisha Ndanda Uwanja wa Uhuru ambapo utakuwa ni mchezo wa pili wakiwa na kumbukumbu ya kugawana pointi moja mchezo wa kwanza Mtwara. #SIMBAVsNDANDA #PATRICKAUSSEMS Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

NDANDA FC 1-0 AZAM FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 18/04/2019)
NDANDA FC 1-0 AZAM FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 18/04/2019)

Azam FC wamekubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Ndanda SC kwenye mechi ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara iliyochezwa leo jioni Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara. Bao pekee la Ndanda limefungwa na Mohamed Mkopi dakika ya 62 akimalizia kwa kichwa mpira wa ‘free-kick’ uliopigwa na Kigi Makasi nje kidogo ya eneo la 18. Ushindi huo wa Ndanda SC dhidi ya Azam FC umeibeba kutoka nafasi ya 11 hadi nafasi ya sita ikifikisha pointi 43 huku Azam FC ikiendelea kusalia kwenye nafasi ya pili na pointi zake 66.

NDANDA SC 1-0 AZAM FC: Bao pekee la Ndanda (TPL - 18/04/2019)

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Ball Controls  #Los Angeles Lakers  #Luis Suarez  #Best Goalkeeper Saves  #Stephen Curry  #Zlatan Ibrahimovi  #Boston Celtics  #Manuel Neuer  #Shaquille O'Neal  #Kevin Durant  

Popular Users

#BBCBreaking  #KylieJenner  #nytimes  #ArianaGrande  #nyt4thdownbot  #elonmusk  #NASA  #SHAQ  #richarddeitsch  #JJWatt  #BMcCarthy32  #Buccigross  #incarceratedbob  #TheRock  #rioferdy5