Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mashabiki wa timu ya Simba wametamba baada ya kuwafunga Kagera bao 1-0 Uwanja wa Taifa leo Feb 18, 2020 Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 usiku Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars