Content removal request!


Kocha Kagera Aukubali Mziki Wa SIMBA Ni Timu Bora

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 leo Feb 18, 2020 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 23, ikitanua uongozi wake kwa pointi 15 zaidi ya Azam FC wanaofuatia ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi na kesho watamenyana na Ndanda FC mjini Mtwara. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars