Tazama Ratiba ya Robo na Nusu Fainali Michuano ya MAPINDUZI Cup 2024, SIMBA na YANGA Kukutana Fainal
Tazama Ratiba ya Robo na Nusu Fainali Michuano ya MAPINDUZI Cup 2024, SIMBA na YANGA Kukutana Fainal

Tazama Ratiba ya Robo na Nusu Fainali Michuano ya MAPINDUZI Cup 2024, SIMBA na YANGA Kukutana Fainal #robofainali #mapinduzicup #simbasc #yangasc #simba #michaelcharamba #simbasc #aprfc #michaelcharamba #mchezajimpya #mapinduzicup #simbasc #aprsc #zanzibar #simba #kikosichayangaleo #yangasc #jamhurisc #chama #mapinduzicup #kikosichayanga #wachezajiwapyawayanga #yangasc #kikosichasimba #wachezajiwaliosajiliwasimba #wachezajiwapyawasimba #usajiliwasimba #simbasc #tetesizausajili #yangasc #dirishadogolausajili #meziane #usajiliwasimba #simbasc #abderahmanemeziane #chama #simbakumfungiachama #simbasc #jwanenggalaxy #yangasc #alahly #wachezajiwanaotemwasimba #dirishadogolausajili #simba #simbaleo #simbasc #asecmimosas #ligiyamabingwaafrika #cafcl #yangasc #crbelouizdad #kochampya #abdelhackbenchka #kochampyawasimba #taifastars #tanzania #simbasc #yangasc #ligikuutanzania #magoliyoteleo #nbc #azamfc #ligikuu #tanzania #yanga #azamtv #trending #youtube #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa #messi #ronaldo



USAJILI SIMBA WABADILIKA/ WAGENI WAWILI KUSAJILIWA/ BENCHIKHA ACHIMBA MKWARA!/ HATAKI HOBELA HOBELA!
USAJILI SIMBA WABADILIKA/ WAGENI WAWILI KUSAJILIWA/ BENCHIKHA ACHIMBA MKWARA!/ HATAKI HOBELA HOBELA!

“Kocha ameshatoa mapendekezo yake, lakini ni tofauti na wengi walivyokuwa wanafikiri kwani amesema apewe angalau wachezaji wawili wa kimataifa kwenye dirisha hili, lakini wawe ni wale ambao atawatumia kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, yaani hataki asajiliwe mchezaji ambaye hatatumika kwa msimu huu. “Anasema tageti yake kubwa ni kufika kuanzia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuendelea, hivyo itakuwa haina maana kama atasajiliwa mchezaji ambaye tayari ametumika msimu huu,” kilisema chanzo hicho. Kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, mchezaji akiwa ameshatumika kwenye michuano ya CAF msimu huu akisajiliwa na klabu nyingine inayoshiriki michuano hiyo, basi hatakuwa na nafasi ya kutumika tena kwa msimu husika. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #usajilisimbasc #simbasc #ahmedally



Ally Kamwe azungumzia hali ya Yanga Algeria, atamba na jezi mpya
Ally Kamwe azungumzia hali ya Yanga Algeria, atamba na jezi mpya

Msikie Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia hali ya kikosi cha timu hiyo kuelekea mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) dhidi ya CR Belouizdad. Kamwe pia ametamba na 'uzi' wao mpya watakaotumia kwenye michuano hiyo kwa hatua ya makundi. Kamwe amtaja mbunifu wao Sheria Ngoyi



Highlights | Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg: 0-1) | African Football League 01/11/2023
Highlights | Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg: 0-1) | African Football League 01/11/2023

NUSU FAINALI AFL: Zilikuwa ni dakika 90 za moto licha ya kumalizika bila bao... Al Ahly wakatupwa nje ya michuano ya African Football League na Mamelodi Sundowns kwa matokeo ya jumla ya bao 1-0 kufuatia kichapo ilichokipata kwenye mchezo wa kwanza nchini Afrika Kusini. Hii ni mechi ya mkondo wa pili ikipigwa jijini Cairo nchini Misri Mamelodi wakimaliza pungufu baada ya mchezaji wao Mandieta kulimwa red card...... Tazama highlights....



GHARIB MZINGA 'ANTHONY MODESTE NI MCHEZAJI HATARI KWA SIMBA/AYOUB LAKRED ANA UZOEFU/BALEKE,INONGA
GHARIB MZINGA 'ANTHONY MODESTE NI MCHEZAJI HATARI KWA SIMBA/AYOUB LAKRED ANA UZOEFU/BALEKE,INONGA

Mtangazaji na Mchambuzi wa soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ameuchambua kiundani mchezo wa Oktoba 20,2023 wa African Football League kati ya Simba SC na Al Ahly,utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 12:00 jioni. Pia mzinga ameeleza namna alivyofarijika kuona Ufunguzi wa Michuano hiyo kufanyika Tanzania



IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA
IBWE AWAOMBEA SIMBA LOLOTE LIWAKUTE/"SISI NI DHAHABU/YANGA WANAMUOTA FEISAL/MPENJA ASIENDE UMALILA

Baada ya Kimya kirefu hatimae Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC Hasheem Ibwe ameibuka tena na kuutangazia umma kuwa wanautaka Ubingwa Msimu. Ibwe amezungumza kinachoendelea kwenye Kikosi cha Azam FC Wakati huu ambao Ligi imesimama pamoja na Nyota wanatarajia kurejea hivi karibuni. Aidha ametoa shukrani kwa Timu iliyowauzia Feisal Salum kwani walichotaka akifanye ndio anakifanya kwa sasa kwenye Kikosi cha Azam FC. Pia ametoa maoni yake juu ya Michuano ya AFL ambao Simba wanakwenda kufungua Pazia dhidi ya Al-Ahly kutoka Misri, ambapo Ibwe amewatakia Simba lolote liwakute kwani adui yake hawezi kumuombea mema. Sanjari na hayo ametuma salam kwa Baraka Mpenja kuwa asitishie kuacha kutangaza kwani Mashabiki wa Soka bado wanataka burudani.



KIVUMBI MAKUNDI CAF: YANGA KUPANGWA NA WAARABU/ SIMBA YASUBIRI HUKUMU!/ ORODHA YAANIKWA/ OKTOBA 06
KIVUMBI MAKUNDI CAF: YANGA KUPANGWA NA WAARABU/ SIMBA YASUBIRI HUKUMU!/ ORODHA YAANIKWA/ OKTOBA 06

Jambo la muhimu katika upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika ni kwamba timu zilizopo katika Chungu kimoja hazitapangwa kundi moja, bali kila timu kutoka kila chungu itakutana na timu nyingine kutoka kila chungu kutengeneza makundi manne tofauti. Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #yangasc #cafcl



Yanga 1-0 Al Merrikh | Highlights | CAF CL 30/09/2023
Yanga 1-0 Al Merrikh | Highlights | CAF CL 30/09/2023

Goli pekee la Clement Mzize limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Merrikh ya Sudan katika mchezo wa marudiano, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Matokeo haya yameifanya Yanga itinge hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa jumla ya magoli 3-0 kufuatia ushindi wa 2-0 ilioupata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Kigali nchini Rwanda.




« Previous Next »


Popular Tags

#Allen Iverson  #Counter Attack Goals Football  #Neymar  #Kobe Bryant  #Cleveland Cavaliers  #Paul Pogba  #Golden State Warriors  #LeBron James  #Russell Westbrook  #Stephen Curry  

Popular Users

#strombone1  #TheEllenShow  #twitter  #BringerOfRain20  #TheNotoriousMMA  #Joey7Barton  #DeionSanders  #ochocinco  #Drake  #JasonDufner  #RealSkipBayless  #TheCUTCH22  #b_ryan9  #CP3  #_BAnderson30_