AL AHLY, CAF KUIVURUGIA ZAMBIA!/ POWER DYNAMOS HALI TETE/ TRY AGAIN AFUNGUKA/ KOCHA AACHIWA MSALA!
AL AHLY, CAF KUIVURUGIA ZAMBIA!/ POWER DYNAMOS HALI TETE/ TRY AGAIN AFUNGUKA/ KOCHA AACHIWA MSALA!

Tumefanya usajili mkubwa sana kupitia dirisha kubwa la usajili mwaka huu na ukweli ni kuwa miongoni mwa sababu kubwa ni ushiriki wetu wa mashindano mbalimbali ikiwamo ya AFL, tumejipanga kushindana katika michuano yote mikubwa kufikia malengo yetu -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #zambia #powerdynamos

MBWADUKE: SIMBA vs AHLY NI SHUGHULI PEVU LIGI MPYA YA MABILIONI AFRIKA/ ITATOBOA?
MBWADUKE: SIMBA vs AHLY NI SHUGHULI PEVU LIGI MPYA YA MABILIONI AFRIKA/ ITATOBOA?

MASAHIHISHO Mzee wa Data anasema kuna mahala ameteleza. Raja walishinda 3-0 kwa Mkapa dhidi ya Simba na siyo 3-1. Michuano hiyo ya AFL itazinduliwa Oktoba 20, 2023. - Mhariri Data Sports.. ; . . . . . . . . .tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumo Nukuu

Magoli yote | Yanga 5-1 ASAS FC | CAF CL 26/07/2023
Magoli yote | Yanga 5-1 ASAS FC | CAF CL 26/07/2023

YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza….. Haya hapa magoli yote sita…

Harambee Stars yaelekea Mauritius kabla ya michuano yao ya kimataifa
Harambee Stars yaelekea Mauritius kabla ya michuano yao ya kimataifa

Timu ya taifa ya soka Harambee Stars iliondoka humu nchini leo asubuhi kabla ya michuano yao ya kimataifa dhidi ya Mauritius ...

VIDEO: MO DEWJI AUMIZWA ASEMA HAYA BAADA YA  SIMBA KUTOLEWA NA WYDAD AC KWA PENALTY 5-3 / I lost.
VIDEO: MO DEWJI AUMIZWA ASEMA HAYA BAADA YA SIMBA KUTOLEWA NA WYDAD AC KWA PENALTY 5-3 / I lost.

Klabu Ya SIMBA SC Imeondoshwa katika Michuano ya kombe la Klabu Bingwa Barani Africa na Wydad Casablanca kwa mikwaju ...

VIDEO: AHMED ALLY ASEMA HAYA BAADA YA SIMBA KUTOLEWA NA WYDAD AC / AUMIZWA SANA NA MATOKEA HAYA

HAJI MANARA Asema haya Baada ya SIMBA kutolewa na WYDAD Hatua ya Robo Fainali | OUT, leteni porojo 😂

ONYANGO AMEFANYA MAKOSA/WYDAD TIMU BORA AFRIKA/SIMBA WAPEWE HESHIMA YAO/KAPOMBE 'MAN OF THE MATCH
ONYANGO AMEFANYA MAKOSA/WYDAD TIMU BORA AFRIKA/SIMBA WAPEWE HESHIMA YAO/KAPOMBE 'MAN OF THE MATCH

Isivyo bahati Mnyama Simba Sc ametolewa hatua ya Robo Fainali kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Wydad Athletic ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Golden State Warriors  #David Silva  #Football Defensive Skills  #Counter Attack Goals Football  #Chicago Bulls  #Best Football Defending Skills  #Los Angeles Lakers  #Shaquille O'Neal  #Luis Suarez  #Shot Goals  

Popular Users

#rioferdy5  #RobbieSavage8  #DanicaPatrick  #LarryFitzgerald  #ArianaGrande  #BBCBreaking  #CMPunk  #BMcCarthy32  #ArianFoster  #ddlovato  #Oprah  #katzm  #CNN  #RSherman_25  #MichelleDBeadle