Content removal request!


KIVUMBI MAKUNDI CAF: YANGA KUPANGWA NA WAARABU/ SIMBA YASUBIRI HUKUMU!/ ORODHA YAANIKWA/ OKTOBA 06

Jambo la muhimu katika upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika ni kwamba timu zilizopo katika Chungu kimoja hazitapangwa kundi moja, bali kila timu kutoka kila chungu itakutana na timu nyingine kutoka kila chungu kutengeneza makundi manne tofauti. Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #yangasc #cafcl