Tazama jinsi ambavyo Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi, kuanzia saa 1;00 usiku. Mchezo ulikuwa mkali, ambapo Mbao FC licha ya kupaki basi kipindi cha kwanza, walikuwa wakifanya mashambulizi ya kushtukiza na kuambulia kosakosa za hapa na pale na hivyo kwenda mapumziko kukiwa hakuna bao. Mabadiliko ya kocha wa Azam FC kumuingiza Idd Kipagwile kuchukua nafasi ya Joseph Mahundi ndiyo yaliyozaa matunda, Idd Kipagwile akifunga bao la kwanza dakika ya 63 na Bernard Arthur akifunga bao dakika ya 72, huku bao pekee la Mbao likifungwa dakika ya 90 na James Msuva.
Ligi kuu Tanzania bara VPL imeendelea katika viwanja vitano 11/3/2018 ambapo imeshuhudia Azam ikipanda hadi nafasi ya Pili kwa point 44 nyuma ya Simba na kuipiku yanga itakayocheza Jumatatu 12/3/2018 pia EPL,Arsenal imeshinda mchezo wake dhidi ya wigan3-0
Ni bao la dakika ya 90 James Msuva akigusa shuti la Emmanuel Mvuyekure. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi, (Jumapili 11/03/2018)
Akiwa ametokea benchi, mshambuliaji raia wa Ghana, Bernard Arthur ameifungia Azam bao la pili akitumia makosa ya kipa wa Mbao ambaye alitoka langoni mapema. FT: Azam FC 2-1 Mbao FC
Idd Kipagwile dakika chache baada ya kuingia akichukua nafasi ya Joseph Mahundi, anaipa Azam FC bao lwa kwanza . Ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi
Tazama hali iliyopelekea mechi ya Tanzania Prisons na Mbao FC kuvunjika. Msimamizi wa kitoa cha Mbeya Elias Mwanjala amesema kutokana na mvua kubwa inyoendelea, pande zote zimekubaliana mchezo huo kumaliziwa kwa dakika 40 zilizobaki kesho saa nne asubuhi.
KOCHA MBAO FC; Simba Hawatuzingui!! SIMBA SC imezidi kuukimbilia kwa kasi ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mbao FC ya Mwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi alifunga mabao mawili moja kila kwa kipindi kabla ya kuumia na kutolewa wakati mabao mengine yalifungwa na Shiza Kichuya, Erasto Nyoni na Mghana, Nicholaus Gyan. Ushindi huo unaifanya Simba itimize pointi 45 baada ya kucheza mechi 19, ikiendelea kukaa kileleni mwa Ligi Kuu, ikifuatiwa na mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 37 za mechi 18, wakati Mbao FC inabaki nafasi ya 10 kwa pointi zake 19 za mechi 19. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.