SIMBA SC 5-0 MBAO FC; VPL, FULL HIGHLIGHTS (26/02/2018)
SIMBA SC 5-0 MBAO FC; VPL, FULL HIGHLIGHTS (26/02/2018)

Timu ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza, imekutana na kipigo kizito cha mabao 5-0, kutoka wa Wekundu wa Msimabazi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli yote a Simba katika mchezo wa leo, haya hapa, wafungaji wakiwa ni Shiza Kichuya dakika ya 38, Emmanuel Okwi mabao mawili, dakika ya 40 na 70, Nicholas Gyan dakika ya 86 na Erasto Nyoni dakika ya 82



MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbao 5- 0
MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbao 5- 0

MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbao 5- 0 SIMBA SC imezidi kuukimbilia kwa kasi ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mbao FC ya Mwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi alifunga mabao mawili moja kila kwa kipindi kabla ya kuumia na kutolewa wakati mabao mengine yalifungwa na Shiza Kichuya, Erasto Nyoni na Mghana, Nicholaus Gyan. Ushindi huo unaifanya Simba itimize pointi 45 baada ya kucheza mechi 19, ikiendelea kukaa kileleni mwa Ligi Kuu, ikifuatiwa na mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 37 za mechi 18, wakati Mbao FC inabaki nafasi ya 10 kwa pointi zake 19 za mechi 19. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.



KOCHA MBAO FC: SIMBA HAITUSUMBUI
KOCHA MBAO FC: SIMBA HAITUSUMBUI

Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- Kocha wa Mbao Fc akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo dhidi ya Simba Sc ambapo Mbao Fc wamefungwa goli 5-0 , magoli ya Simba yakifungwa na Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi, Erasto Nyoni na Nicholas Gyan.



Simba hii haikamatiki vs Mbao FC, Full Time 5-0
Simba hii haikamatiki vs Mbao FC, Full Time 5-0

Baada ya Simba kupoteza point mbili Shinyanga kwa kutoka sare dhidi ya Mwadui FC, leo walionekana kufuta makosa na kuifunga Mbao FC magoli 5-0, magoli ya Simba yakofunhwa ma Shiza Kichuya dakika ya 38, Okwi aliyefunga mawili dakika ya 41 kwa penati na 68, Erasto Nyoni dakika ya 82 na Nikolaos Gyan dakika ya 86.



MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO
MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO

Magoli yote ya Simba Sc dhidi ya Mbao Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara..Magoli ya Simba yamefungwa na Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi (2), Erasto Nyoni na Nicholas Gyan.



Haya hapa magoli yote matano ya Simba ikiitandika Mbao FC 5-0 (26/02/2018)
Haya hapa magoli yote matano ya Simba ikiitandika Mbao FC 5-0 (26/02/2018)

Simba imeicharaza Mbao FC jumla ya mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo katika dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli yote a Simba katika mchezo wa leo, haya hapa, wafungaji wakiwa ni Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi mabao mawili, Nicholas Gyan na Erasto Nyoni.




« Previous Next »


Popular Tags

#Thomas Muller  #Best Ball Controls  #Best Goals  #Neymar  #Mesut Ozil  #Zlatan Ibrahimovi  #Manuel Neuer  #Best Goals  #Stephen Curry  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#richarddeitsch  #katyperry  #ladygaga  #RSherman_25  #BBCBreaking  #KevinHart4real  #dougferguson405  #BringerOfRain20  #billbarnwell  #UKCoachCalipari  #twitter  #akshaykumar  #CNN  #LAKings  #AntDavis23