Bernard Arthur alipoifungia Azam FC bao la pili dhidi ya Mbao FC - VPL 2017/18
Akiwa ametokea benchi, mshambuliaji raia wa Ghana, Bernard Arthur ameifungia Azam bao la pili akitumia makosa ya kipa wa Mbao ambaye alitoka langoni mapema.
FT: Azam FC 2-1 Mbao FC