Content removal request!


Bao la kwanza la Azam FC vs Mbao FC dimba la Chamazi - VPL 2017/18

Idd Kipagwile dakika chache baada ya kuingia akichukua nafasi ya Joseph Mahundi, anaipa Azam FC bao lwa kwanza . Ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi