Content removal request!


Tazama hali iliyopelekea mechi ya Tanzania Prisons na Mbao FC (3/3/2018) kuvunjika.

Tazama hali iliyopelekea mechi ya Tanzania Prisons na Mbao FC kuvunjika. Msimamizi wa kitoa cha Mbeya Elias Mwanjala amesema kutokana na mvua kubwa inyoendelea, pande zote zimekubaliana mchezo huo kumaliziwa kwa dakika 40 zilizobaki kesho saa nne asubuhi.