Content removal request!


Hili hapa bao la Mbao FC likifungwa na James Msuva (FT: Azam FC 2-1 Mbao FC)

Ni bao la dakika ya 90 James Msuva akigusa shuti la Emmanuel Mvuyekure. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi, (Jumapili 11/03/2018)