#CentenaryLimbe#Cameroon#ZambiaVsTanzania 🔴#LIVE ZAMBIA VS TANZANIA | MASHINDANO YA CHAN | UWANJA WA CENTENARY - LIMBE
Namungo FC imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwa kuichapa Al Rabita ya Sudan Kusini mabao 3-0. Magoli ya Namungo yamefungwa na Stephen Sey aliyefunga mawili huku la tatu likifungwa na Shiza Kichuya. Tazama magoli. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
NAMUNGO 3-0 AL RABITA: Namungo FC imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwa kuichapa Al Rabita ya Sudan Kusini mabao 3-0. Magoli ya Namungo yamefungwa na Stephen Sey aliyefunga mawili huku la tatu likifungwa na Shiza Kichuya. Tazama magoli. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#ObreyChirwa #IddNado #AzamFC #SingidaUnited Azam FC imeandika rekodi ya kwanza baada ya kupata ushindi mnono wa kihistoria kwenye mechi za mashindano, ikiichapa Singida United mabao 7-0, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL). Mabao ya Azam FC yalifungwa na Obrey Chirwa akifunga manne, Idd Seleman 'Nado', akifunga mawili huku jingine wakijifunga wenyewe Singida United. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
Mabadiriko ya uwanja utakaotumika katika mechi kati ya simba na Mwadui, Yametajwa na manara wakati akizungumza na waandishi wa habari. hata hivyo timu hizo zinakutana zikiwa na kumbukumbu ya simba kufungwa Goli 1:0 na Mwadui, lakini Simba inaibuka na kusema lazima ilipe kisasi. fuatilia mechi hiyo kupitia channel hii na usisahau kuSUBSCRIBE. #SIMBAVSMWADUI #MANARA #UWANJAWATAIFA Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA, huku kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya akiwemo kati yao. Simba inajianda na mechi ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Simba wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kufungwa katika mchezo wa ligi uliopigwa Uwanja wa Kambarage huko Shinyanga ambao ulimalizika kwa Mwadui kushinda bao 1-0. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja Mkuu wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu alisema kuwa kikosi chao kitaingia kambini leo jioni huko Ndege Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Rweyemamu alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yanakwenda vizuri na wachezaji wote wataingia kambini tayari kwa kuwawinda Mwadui kwa ajili ya kulipa kisasi cha kufungwa katika ligi. Aliongeza kuwa kiungo wao wa zamani Kichuya huenda akawa katika sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini baada ya hivi karibuni kusaini mkataba wa kuichezea Simba. “Kesho (jana), timu yetu itaingia kambini rasmi huko Ndege Beach tulipoweka kambi ya kudumu katika msimu huu kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Mwadui. “Tunafahamu umuhimu mkubwa wa kombe hili, hivyo ni lazima timu yetu ipate matokeo mazuri ili tuendelee na mashindano hayo na mwisho wa siku tuweze kuchukua kombe hilo. “Maandalizi yanakwenda vizuri na timu yetu na wachezaji wote wataingia kambini kujiandaa na mchezo huo, pia Kichuya huenda akawa sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini kama atakuwa amekamilisha baadhi ya vitu vyake kati yake na uongozi baada ya kusaini mkataba Simbva,” alisema Rweyemamu ambaye ni miongoni mwa wanachama wanaoaminika sana na uongozi wa juu wa Simba. SIMBA INATAKA KUWEKA REKODI
KOCHA, WACHEZAJI TANZANIA Wafunguka KUKOSA Nafasi ya Tatu CECAFA Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo Desemba 19, 2019 imefungwa goli 2-1 na timu Taifa ya Kenya katika mchezo wa kutafuta Mshindi wa tatu katika mashindano ya Chalenji nchini Uganda na kutoka mikono mitupu. Katika mchezo huo ulioanza saa 7:00 mchana, Kenya walitumia vyema makosa binafsi ya wachezaji wa Stars, kuweza kupachika mabao hayo. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
Bao pekee la Fahad Bayo dakika ya 86 limeitupa Tanzania Bara nje ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wa mashindano, Uganda The Cranes.
Timu ya taifa ya Burundi imekuwa ya kwanza kuaga mashindano ya CECAFA Challenge Cup baada ya leo kupoteza mchezo wa tatu mfululizo, ikifungwa na 2-1 na Djibouti. Magoli ya Djibouti yamefungwa na Mahdi Hussein dakika ya 11 na 71 huku bao pekee la Burundi likifungwa na Ndikumana Laundry dakika ya 14. Matokeo hayo yanaifanya Burundi kupoteza mechi zote tatu huku ikibakiza mchezo mmoja ambao hata ikishinda, haitaweza kusonga mbele ikiwa ndiyo timu pekee isiyokuwa na pointi kati ya timu tano za Kundi A.