Vimbwanga vya Bernard Morrison akitambulishwa klabuni KenGold
Vimbwanga vya Bernard Morrison akitambulishwa klabuni KenGold

#MakarashaDay: Tazama ‘vimbwanga’ vya Bernard Morrison baada ya kutambulishwa ndani ya dimba la Sokoine jijini Mbeya ikiwa ni ingizo jipya kwenye kikosi cha KenGold. Wchezaji wengine waliotambulishwa ni pamoja na Morrison ni Kelvin Yondani na Obrey Chirwa. #MakarashaDay #KenGold #HashukiMtu #AzamSports1HD



🔴#LIVE: AZAM FC vs YANGA SC (0 - 1) - LIGI KUU BARA, UWANJA WA AZAM COMPLEX CHAMAZI....
🔴#LIVE: AZAM FC vs YANGA SC (0 - 1) - LIGI KUU BARA, UWANJA WA AZAM COMPLEX CHAMAZI....

🔴#LIVE: AZAM FC vs YANGA SC (0 - 1) - LIGI KUU BARA, UWANJA WA AZAM COMPLEX CHAMAZI.... Ni mtanange wa kukata na shoka kati ya klabu mbili zinazoongoza ligi zikiwa na pointi sawa ila utofauti ni wa magoli tu, AZAM FC vs YANGA SC, unachezwa leo Novemba 25, katika dimba la Azam Complex Chamazi.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



VPL Highlights | Azam FC 7-0 Singida United | Chirwa aandika rekodi
VPL Highlights | Azam FC 7-0 Singida United | Chirwa aandika rekodi

#ObreyChirwa #IddNado #AzamFC #SingidaUnited Azam FC imeandika rekodi ya kwanza baada ya kupata ushindi mnono wa kihistoria kwenye mechi za mashindano, ikiichapa Singida United mabao 7-0, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL). Mabao ya Azam FC yalifungwa na Obrey Chirwa akifunga manne, Idd Seleman 'Nado', akifunga mawili huku jingine wakijifunga wenyewe Singida United. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora



VPL HIGHLIGHTS | ALLIANCE 0-5 AZAM FC | CHIRWA APIGA HAT-TRICK, CHILUNDA MMHH!
VPL HIGHLIGHTS | ALLIANCE 0-5 AZAM FC | CHIRWA APIGA HAT-TRICK, CHILUNDA MMHH!

Kikosi cha Azam FC kimeendeleza wimbi la ushindi ugenini kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kupata ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Alliance. Mabao matatu ya Obrey Chirwa (hat-trick) na mawili ya Shaaban Chilunda, yalitosha kabisa kuihakikishia ushindi mwingine Azam FC mkoani Mwanza, ikifanikiwa kuvuna pointi zote sita. #ObreyChirwa #ShaabanChilunda #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora





Popular Tags

#Kevin Durant  #Tristan Thompson  #Lionel Messi  #Chicago Bulls  #David Silva  #Manuel Neuer  #Chris Paul  #Counter Attack Goals Football  #Sergio Aguero  #New York Knicks  

Popular Users

#realmadrid  #criscyborg  #SportsCenter  #jtimberlake  #PMOIndia  #StephenCurry30  #Oprah  #Buccigross  #BrunoMars  #billsimmons  #RealSkipBayless  #selenagomez  #josecanseco  #nyt4thdownbot